IJUE AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE
Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka
au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi,
hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi
ya 80%. Asilimia kubwa ya wanawake
mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema
zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi,
ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke
huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen,
Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko
wa homoni kwa mwanamke.
II.
VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI
Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:
- Uwepo wa sumu mwilini
- Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
- Umri ukienda sana
- Kukoma kwa hedhi
- Kutofanya mazoezi
- Uzito mkubwa
- Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
- Msongo wa mawazo
- Kula vyakula visivyo endana na Blood Group
- Upungufu wa lishe mwilini
- Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
- Utoaji wa mimba
- Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya
progesterone na Estrogen)
- Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti
kama mwanaume)
- Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili
tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile
makubwa
- DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili
yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi
ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni
ni kama vile:
- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoa jasho usiku
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko
ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa
muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa
hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele
kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani.
- Kupata
hedhi wakati wa ujauzito (progesterone
ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na
kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua
kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa
na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za
uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati
- Misuli hudondoka
- MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake
waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa
mpango. Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke
kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa
kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathiri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria),
kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda
mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama
yafuatayo:
- Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
- Mimba kuharibika mara kwa mara
- Kukosa mtoto au Ugumba
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
- UTI (Urinary Tract Infection)
- Kuzeeka mapema
- Kuziba kwa mirija ya uzazi
- Uvimbe (Fibroids and Cysts)
- SULUHISHO
- Suluhisho
Linalopendwa
Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko
sawa huenda mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones)
na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye
kazi zake kama kawaida. Lakini hupelekea madhara kama:
- Kuongeza uwezekano ya shinikizo la damu.
- Osteoporosis.
- Madhara katika mfumo wa uzazi.
- Saratani na mengineyo.
- Suluhisho
La kudumu
Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe,
msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza
kurekebisha. Kwa wanawake wenye changamoto hii tume waandalia program ya lishe kamili na virutubisho
muhimu. Program hii ni ya vyakula; sio dawa wala miti shamba. Inasaidia kuweka
sawa homoni za mwanamke, kuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa
maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye
kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). Sumu
zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali
za kiafya ikiwemo: vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya
tumbo, … n.k.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na
kuimarisha Afya yake awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo
Comments
Post a Comment