FAHAMU AFYA YA TEZI DUME (PROSTATE GLAND)
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo
ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana
katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake
kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia
kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na
husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.
Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.
Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human
Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake
ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo
hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani
hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
“Prostate
Cancer has no social boundaries” – Archbishop
Desmond Tutu.
- VYANZO
VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana
hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu
ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress)
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)
- DALILI
ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer),
ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10. Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki
kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea
kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani
(cancer). Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona;
lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa
mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.
Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua
tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa
mwanaume.
a)
Dalili za awali
- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa
mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b)
Dalili za mtu aliyeathirika
- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa
kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi
maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa
kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara
- MADHARA
YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa
kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye
njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho
rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa
kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa
tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina
ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen
(PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki
hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu,
na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity
for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo
- SULUHISHO
KWA TEZI ILIYOTANUKA
a)
Suluhisho Linalopendwa
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na
madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa
muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia
za madawa yenye makemikali au mitishamba,
lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi
sana. Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
- Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza
bila kukimbilia tiba kali kama madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale
mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
- Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa
saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari
kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za
Ulaya.”
– Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer
Smith Hospital, London
- Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya
wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo
kutoka wanapo banwa na haja ndogo.” – Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika
wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.
b)
Suluhisho la kudumu
Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na
virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye changamoto hii
ya kutanuka kwa Tezi Dume, kampuni tumewaandalia program ya
lishe kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni
vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula
ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu
katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na
nadhifu.
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins,
Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya Tezi
Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume, awasiliane nasi kwa
namba zifuatazo:
Comments
Post a Comment