Posts

HOW TO DETOX YOUR BODY NATURALLY

Image
Every day we absorb toxins in our body.   Our lifestyle is completely distorted. People are vanishing because of they do not have proper knowledge on what to do in order to maintain health. Others are daily facing critical health condition due to their neglect. God had a strong purpose when he created us with different Blood Types. Your Blood Type is the key that unlocks the door to the mysteries of health, disease, longevity, physical vitality, and emotional strength. Your Blood Type determines your susceptibility to illness, which foods you should eat, and how you should exercise. Many people are thinking deeply and working hard to find the path of wellness; and others find themselves in critical health condition, including losing or gaining weight (Underweight, Overweight and Obese class I, II, II). There had to be a reason why there were so many paradoxes in dietary studies and disease survival.  In addition, there also had to be an explanation for why som...

IJUE AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE

Image
Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia  kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana  kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko  wa homoni kwa mwanamke.                                             ...

BAWASIRI NI NINI?

Image
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.  Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 30 – 70.    Kuna aina mbili za bawasili : Bawasiri ya Ndani : Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla hakijatokea njee. Bawasiri ya Nje : Hiki nikinyama au kivimbe kinatokea nje baada yakutokea ndani. Kinatokea njee kwawalio athirika, na ukikaa muda mrefu na huu ugonjwa unajiongozea matatizo ya kiafya ambayo siyo rahisi kukabiliana nayo, na maranyingi ugonjwa huu unasababisha vifo vya ghafla.                                   II.          CHA...